MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI ATUMA SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS SAMIA SULUHU

MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI ATUMA SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS SAMIA SULUHU

Kamala Harris amemtakia heri Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuatia kuapishwa kwake

 Asema Marekani ipo tayari kufanya kazi pamoja naye na kuimarisha mahusiano.

Comments