DODOMA: MANDALIZI YA KUAGA MWILI WA JOHN POMBE MAGUFURI

 Maandalizi ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli yakiendelea kwenye uwanja wa Jamhuri Dodoma. Mwili utawasili Dodoma leo na zoezi la kutoa heshima za mwisho litafanyika kesho.

Comments