UWANJA WA UHURU WASHINDWA KUWAMUDU WALIOJITOKEZA KUAGA
Waombolezaji waliujaza Uwanja tangu saa 3:30 asubuhi, waombolezaji wengine waliombwa wasubiri nje, wakihakikishiwa kuingia uwanjani kumuaga Dkt. Magufuli watu wengine wakipungua

UWANJA WA UHURU WASHINDWA KUWAMUDU WALIOJITOKEZA KUAGA
Comments
Post a Comment