JE, WAJUA CHANZO NA DALILI ZA KUKOSA NGUVU ZA KIUME?

 


 

Uume kulegea maana yake ni uume kutokuwa na uwezo wa kusimama na kushindwa kufanya tendo la ndoa. Kupatwa na tatizo la kuishiwa nguvu za kiume mara kwa mara hupoteza sifa za muhusika. Ikiwa kama hali hii itadumu kuendelea, hivyo inaweza kusababisha msongo wa mawazo, huharibu ujasili wako na huchangia kukaribisha matatizo katika mahusiano ya ndoa.

 

Dalili Zake

 

Kwa kawaida dalili za kuishiwa na nguvu za kiume huwa kama ifuatavyo:

  • Uume kushindwa kusimama
  • Uume kushindwa kufanya tendo la ndoa
  • Kukosa hamu ya tendo la ndoa

 

Na ieleweke kuwa, tatizo hili linapojitokeza tafadhali muhusika anapaswa kumuona daktari mapema. Muone daktari ikiwa kama:

  • Una matatizo ya kuwahi ama kuchelewa kufika kileleni
  • Una ugonjwa wa kisukari, moyo au magonjwa mengine yasiyofahamika ambayo yanaweza kuambatana na hali ya kuishiwa nguvu za kiume.
  • Una dalili zingine ikiwa pamoja na kupungukiwa nguvu za kiume

 

Visababishi Vyake

 

Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume huwa ni njia isiyoelezeka inayohusisha ubongo, vichochezi(hormones), hisia, neva za fahamu, misuli pamoja na mishipa ya damu. Kupungukiwa nguvu za kiume kunaweza kuwa ni matokeo ya mojawapo ya matatizo magonjwa. Vile vile, msongo wa mawazo, pamoja na afya katika mfumo wa fahamu kunaweza kuwa kisababishi ya kupungukiwa nguvu za kiume.

 

Wakati mwingine matatizo ya kimwili na kiakili husababisha nguvu za kiume kupungua. Kwa mfano, hali mbaya ya kimwili inayoweza kusababisha hamu ya tendo la ndoa kutoweka inaweza kuleta wasiwasi juu ya kutengeneza nguvu za uume kusimama. Hali ya mashaka na wasiwasi unaojitokeza unaweza kusababisha uume kushindwa kusimama.

 

Je, Ni Matatizo Gani Ya Kimwili Yanayosababisha Kukosa Nguvu Za Kiume?

 

Katika mambo mbalimbali, upungufu wa nguvu za kiume umekuwa ukisababishwa na matatizo ya kimwili. Vyanzo vyake ni pamoja na:

  • Magonjwa ya moyo
  • Damu kuganda kwenye mishipa ya damu
  • Mkusanyiko wa mafuta kwenye damu(High Cholesterol)
  • Shinikizo la juu la damu(High Blood Pressure)
  • Kisukari
  • Unene na kitambi pia
  • Mafuta kujaa kiunoni
  • Matumizi ya ugoro ama tumbaku
  • Kupiga punyeto muda mrefu
  • Ulevi wa pombe kama vile viloba, bia, nk
  • Kukosa usingizi
  • Kuvimba kwa tezi dume
  • Matatizo yanayokuwa kwenye uti wa mgongo

 

Je, Ni Matatizo Gani Ya Kiakili Yanayosababisha Kukosa Nguvu Za Kiume?

 

 

Ubongo huchangia sehemu kubwa katika kuamsha viungo vya uzazi ili kupata hisia kama vile nyege, na kuufanya uume kuweza kusimama. Lakini yapo mambo mengi yanayoweza kuingiliana na hisia za kimapenzi na zinaweza kusababisha nguvu za uume kupungua. Mambo haya ni kama yafuatayo:

 

  • Mashaka, wasiwasi au hali nyingine ya afya ya ubongo
  • Msongo wa mawazo kutokana na sababu mbalimbali kama vile mambo ya kiuchumi, kuachwa na mwezi wako, madeni, magonjwa,kutengwa na ndugu, mahusiano kuvunjika, nk

 

Je, Kuna Vihatarishi?

 

 

Na ieleweke kuwa, kadiri mwanaume umri wake unapozidi kuwa mkubwa, uume wake huchukua muda mrefu kusimama(yaani kudindisha) na kuwa imara au kukaza zaidi kama alivyokuwa kijana. Itampasa muda mwingi kutumia kuupapasa uume wake ili uweze kusimama.

Yapo mambo mbalimbali yanayoweza kuchangia kuwa vihatarishi na kufanya uume kuishiwa nguvu, nayo ni:

  • Matumizi ya madawa ya vidonge kwa muda mrefu kutokana na tiba za magonjwa ya moyo au kisukari
  • Matumizi ya tumbaku ambayo huzuia mtiririko wa damu kuingia katika mishipa ya fahamu au moyo.
  • Kuwa na uzito mkubwa wa kupindukia, hasa unene
  • Ajali ikiwa kama uliipata ikaharibu mishipa ya fahamu

 

 

Tahadhari

 

 

Njia nzuri ya kujikinga na kuzuia hali hii isiwezi kuendelea ni kubadirisha mtindo wako wa maisha na kufuata kanuni bora kabisa za afya. Kwa mfano:

  • Ikiwa kama una magonjwa ya kisukari au moyo, hakikisha unayatibu yanaondoka

 

  • Kuwa na utaratibu wa kwenda kupima afya yako mara kwa mara pindi unapokuwa katika tiba

 

 

  • Usipende kuwa na mazoea ya kuvuta sigara, unywaji pombe, wala usitumie madawa ya kulevya

 

  • Hakikisha unafanya mazoezi kila mara

 

 

  • Usipende kuwa na msongo wa mawazo, badala yake unaweza kuwa na muda wa kusikiliza nyimbo nzuri au kutembelea mazingira mazuri, nk

James Herbal Clinic tunapenda kuwashauri wapendwa wanaosumbuliwa na tatizo hili kuwa, hali hii inapojitokeza, basi yakufaa utumie muda mzuri wa kufanya uchunguzi ili kujua chanzo chake, na hivyo kutumia muda mzuri wa tiba ili kuliondoa kabisa tatizo. Napenda kusema hivyo kwasababu, nimekuwa nikiona watu wengi wenye tatizo hili, wanapokuwa katika matibabu ya tatizo hili hupenda kuona mafanikio ndani ya siku 3-5. Lakini kumbuka kama nilivyoeleza visababishi vyake hapo juu, yafaa sana upate tiba kwa uhakika kwa muda unaotosha ili kuondoa tatizo hili.

 

Tiba Zake

 

 

Dkt. Songati tuna dawa aina  zinazoondoa tatizo la kupungukiwa ama kukosa nguvu za kiume, Tumia NDONGA uondoshe tatizo la nguvu za kiume

Unahitaji huduma, wasiliana nasi kwa namba hizi:  Whatsap No. 0678 367 707

Comments