Hili lipo wazi Tanzania katika mambo ya nje tulikuwa tumefeli sana,diplomasia ilikuwa hoi bin taabani.
Chini ya Kabudi Tanzania ilikuwa kama kisiwa au nchi inayoelea hewani.
Kuondolewa Profesa Kabudi hiyo wizara ni kutaka kujenga upya uhusiano mpya na nchi, taasisi na jumuiya za kimataifa

Comments
Post a Comment