MATIBABU YA UHAKIKA YA NGUVU ZA KIUME

 


 
Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia, tatizo la kupungua nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu, bali duniani kote. 
 
Hapo zamani, tatizo hili lilikuwa la wazee zaidi, lakini jambo la ajabu na la kuhuzunisha leo limekuwa ni tatizo la vijana zaidi kuliko hata wazee! Utamkuta mwanaume ni kijana wa miaka 18 au 25 au 30 au 40, lakini jinsi anavyotenda tendo la ndoa ni sawa na mzee wa miaka 90 au 100!!
Atakwambia, “Ninafika kileleni ndani ya dakika mbili,” au “Nikimaliza tendo la ndoa raundi ya kwanza, siwezi kurudia mpaka kesho yake!” Au “Uume wangu unasimama kwa uregevu sana, na nikiingia ukeni tu, unakufa (unaregea)!”
Habari kama hizo ni nyingi kwa namna tofauti tofauti na kwa watu wengi sana. Ni utitiri wa watu, vijana kwa wazee, na vijana ndiyo wakiwa wameshika usukani (wakiongoza).
Kwa bahati nzuri matatizo mengi ya nguvu za kiume yanatibika, lakini iwapo tu kama matibabu sahihi (yanayoanzia kwenye chanzo cha tatizo yatapatikana).
 
Hata hivyo, kwa bahati mbaya sana waathirika wengi wa nguvu za kiume wamekuwa wakikurupuka tu kubugia dawa, na hii ndiyo sababu wamekuwa hawaponi licha ya kutumia chungu ya dawa, na pia wamekuwa wakipoteza pesa nyingi bure tu kwa matibabu hayo ya kubahatisha.
Pia kutokana na tatizo hili kuwa kubwa, kila kuchapo huibuka watu wanaodai wanaweza kutibu na kumaliza tatizo kabisa. Kwenye magazeti, kwenye mabango mitaani, katika redio n.k, kuna utitiri wa matangazo juu ya tatizo hili. Lakini, kinachokata maini zaidi ni kwamba, wengi wa wataalamu hao hawajui sababu za kupungua nguvu za kiume, wala hawajui utendaji wa mwili wa binadamu. Wengi wanadhani kuishiwa au kupungua nguvu za kiume ndiyo ugonjwa wenyewe.
Kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Kuna sababu zake ndani ya mwili. Sababu hizo ni nyingi mno, ni zaidi ya 100! Anatakiwa daktari mtaalamu aliyebobea katika uzazi, mifumo ya mkojo, anayelijua vizuri figo ndani na nje, ini na mifumo mingine ya mwili, ikiwa ni pamoja na kemia ya mwili. Na inatakiwa dawa iende kutibu chanzo cha tatizo. Ndicho tunachokifanya sisi. matibabu yetu ni ya uhakika.
 
Jambo muhimu analopaswa mwanaume yeyote kufahamu ni kwamba, kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Sentensi hii ina maana gani? Twende pamoja.
kwa nini upungikiwe nguvu za kiume?
Hakuna jambo baya asilopenda mwanaume yoyote kama kupungua nguvu za kiume. Linaleta simanzi kwa wanandoa na kuharibu saikolojia ya mtu. Mwanaume yeyote anapaswa kujiuliza swali hili: Kwa nini mwanume apungukiwe nguvu za kiume? Ndani ya mwili wa mwanaume kuna viungo zaidi ya 100 vinavyohusika na nguvu za kiume. Kiungo kimojawapo kinaposhindwa kufanya kazi, nguvu za kiume hupungua. Na kuna sababu zaidi ya 200 zinazoweza kusababisha viungo hivyo vishindwe kufanya kazi zake vizuri.
 
nguvu za kiume ni nini?
 
Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na hamu ya mapenzi; kusimama kwa uume barabara; kuchelewa kufika kileleni kiasi cha kufurahia tendo la ndoa; uwezo wa kurudia tendo la ndoa kwa wakati muafaka; pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda tendo la lenyewe. Kwa ujumla vipengele vyote hivyo, ndivyo ukamilifu wa nguvu za kiume. Na ndiyo maana ya nguvu za kiume.
Kuna watu huwa hawajitambui kama wana tatizo la kuishiwa nguvu za kiume, na hatimaye tatizo huwa kubwa zaidi. Ukweli wa mambo ni kwamba:
 
• Kama unakosa hamu ya tendo la ndoa, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
• Kama uume hausimami barabara, una upungufu wa nguvu za kime.
• Kama uume unasimama kwa muda mfupi na kulegea, una upungufu wa nguvu za kiume.
• Kama uume wako hulegea muda mfupi tu baada ya kuingia ukeni, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
• Kama unafika kileleni muda mfupi tu baada kuingia ukeni, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
• Kama unashindwa kufika kileleni una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
• Kama unasikia maumivu wakati uume unaposimama, una tatizo la kuishiwa nguvu.
• za kiume.
• Kama unashindwa kutoa mbegu (shahawa), una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
 
Iwapo moja ya matatizo hayo yatakutokea, fahamu ya kwamba, una UPUNGUFU wa nguvu za kiume, na hivyo sasa ni muda muafaka wa kutafuta matibabu sahihi bila
kuchelewa. Unapoanza kujitibu mapema kabla mambo hayajawa mabaya zaidi, unakuwa umejitengenezea fursa pana ya kupona. Lakini, chelewa chelewa…. utakuta mwana si wako!
viungo gani mwilini vinahusika na nguvu za kiume?
 
Nguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo na vitu vingi ndani ya mwili. Kuna zaidi ya viungo na vitu mbalimbali zaidi ya 100 ndani ya mwili wa mwanaume vinavyohusika na nguvu za kiume ambapo viungo hivi pia hufanya kazi zingine za mwili. Baadhi ya viungo hivyo ni ubongo, moyo, mishipa ya neva mishipa ya ateri, mirija iliyo ndani ya uume iitwayo corpora cavernosa.
Viungo vingine ni neva maalumu za parasympathetic, tezidume (prostate gland), ini, figo, homoni ya testestorone, kemikali za acetylcholine, serotonin, na dopamine, uti wa mgongo, eneo la chini ya mgongo (kiuno), eneo la nyonga. 
 
Viungo vingine ni misuli maalumu iitwayo pelvic floor, tezi pituitari (pituitary gland), utando maalumu wa uumeni uitwao tunica albuginea, misuli iitwayo pubococcygeus [PC muscles], kemikali ya nitric oxide, kemikali ya prolactin n.k. Orodha ni ndefu sana, ni zaidi ya 100!
nini maana ya kupungua nguvu za kiume?
 
Unapopungua nguvu za kiume, kama nilivyosema hapo awali, ina maana ndani ya mwili wako kuna baadhi ya vitu katika vitu nilivyovitaja hapo juu havifanyi kazi vizuri jinsi ipasavyo. Yawezekana ni figo ndilo halifanyi kazi vizuri, au ini, au tezi dume, au neva ya parasympathetic, au moyo una tatizo au mishipa ya ateri, au misuli ya pelvic au homoni fulani iko juu sana au iko chini sana (hormonal imbalance), orodha ni ndefu sana. Kitendo cha baadhi ya viungo hivyo kutofanya kazi vizuri basi hapo hutokea upungufu katika nguvu za kiume. Upungufu huo unaweza kuwa ni:
1. Kukosa hamu ya mapenzi; au
2. Uume kusimama kwa uregevu; au
3. Kuwahi kufika kileleni; au
4. Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa); au
5. Kushindwa kurudia tendo la ndoa; au
6. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo; au
7. Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji; au
8. Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu;
Ndugu msomaji, ili uelewe vizuri zaidi labda niseme kwamba, nguvu za kiume ni kiwanda; na ni zaidi ya kiwanda. Tukichukulia mfano wa kiwanda, ni kwamba ndani ya kiwanda kuna umeme, maji, madawa, watu (wafanyakazi wa kila taaluma na fani), mashine, mitambo n.k.
Ikitokea kitu kimojawapo kukosekana, mathalani umeme, au wafanyakazi wakagoma, au kukakosekana madawa muhimu au maji na kadhaa wakadha, basi bidhaa inayotarajiwa kupatikana sokoni, kwa hakika haitapatikana.
Vivyo hivyo nguvu za kiume, mathalani, ikitokea tezidume kutofanya kazi vyema, basi hapo mwanaume hatoona nguvu za kiume, zitapungua au zitaisha kabisa!
Kwa hiyo upungufu wa nguvu za kiume ni upungufu au kasoro za kiutendaji wa viungo ndani ya mwili wa mwanaume. Mwanaume yoyote anapaswa kutambua jambo hili, na siyo kukurupuka kubugia dawa tu.
 
kwa nini viungo vinavyohusika na nguvu vishindwe kufanya kazi?
Kuna maradhi kadhaa, vyakula tunavyokula, tabia na mtindo wa maisha vinavyoweza kupelekea viungo hivyo kutofanya kazi vizuri. Baaadhi ya maradhi hayo na tabia hizo ni kujichua/punyeto (masturbation); kisukari; presha ya kupanda; presha ya kushuka; uvutaji wa sigara; unywaji wa pombe; madawa ya kuleva; kufanya kazi kupita kiwango na kukosa muda wa kupumuzika; matatizo ya kukosa usingizi na kuchelewa kulala usiku.
 
Sababu zingine za kupungua nguvu za kiume ni kutokunywa maji ya kutosha, tatizo la kufunga choo hasa pale unapotumia nguvu nyingi kusukuma choo; kutofanya mazoezi; ukosefu wa kumbukumbu; uzito mkubwa/unene mkubwa; kitambi; kuvimba kwa tezidume (Benign Prostate Hyperplasia).
Sababu zingine ni saratani ya tezi dume (Prostate cancer), matibabu ya mionzi ya tezidume na upasuaji, ugonjwa unaoathiri vitendo na shughuli za mwili kama vile mwondoko na balansi (multiple sclerosis), ugonjwa ambao hudhuru mawasiliano ya ubongo na miondoko ikiwa ni pamoja na kutembea, kuongea na kuandika (parkinson’s disease), vyakula vya mafuta, vyakula vilivyowekewa homoni bandia za kike n.k.
 
Sababu zingine ni maumivu ya mgongo/kiuno; baadhi ya side effects za madawa ya kemikali (madawa ya hospitali); kiharusi (stroke); upungufu katika utendaji wa kazi za gonadi (hypogonadism); uzalishaji mwingi wa homoni ya thyroid.
Sababu zingine ni kutozalishwa kwa homoni ya thyroid ya kutosha; ugonjwa unaoathiri uzalishaji wa homoni ya cortisol (cushing’s syndrome); ugonjwa wa kupinda uume (peyronie’s disease); kukakamaa kwa mishipa ya damu (atherosclerosis); orodha ni ndefu sana, ni zaidi ya 200.
Hivyo mwanaume anapopungua nguvu za kiume, ina maana kuna ugonjwa ndani ya mwili wake, au unaweza kuwa huo ugonjwa umeshadhihirika (umeshatokeza) kwa nje, au huo ugonjwa bado uko ndani ya mwili unamla na kummaliza kimyakimya kama yalivyo baadhi ya magonjwa ambapo baadaye hulipuka. Hii ndiyo maana kitaalamu tunasema kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa ni dalili ya ugonjwa. Yani unapopungua nguvu za kiume hiyo ni KENGELE YA TAHADHARI kwamba ndani ya mwili wako kuna kitu au vitu havifanyi kazi vyema. Hivyo, unaambiwa kuchukua haraka TAHADHARI kabla ya HATARI!
 
KOSA KUBWA WANALOFANYA WANAUME WENGI
 
Wanaume wengi wanapopungukiwa nguvu za kiume hukimbilia kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume, na siyo kutibu chanzo cha tatizo. Hili ni KOSA KUBWA sana!
Ni kosa kubwa kukurupuka kubugia dawa za nguvu za kiume bila kujua chanzo cha tatizo na bila kujua hiyo dawa inakwenda kutibu eneo au kitu gani mwilini. Kwa njia hiyo, utamaliza miaka hata zaidi ya 100 na hata miaka elfu moja na hautapona!
Upungufu wa nguvu za kiume lazima utibiwe kuanzia chanzo cha tatizo; kwa maana ya kwamba mzizi wa tatizo sharti ung'olewe kwanza! 
 
Mathalani, kama tatizo ni la homoni ijulikane kwanza; kama ni tatizo la tezi ijulikane kwanza, kisha matibabu sahihi yaelekezwe katika maeneo hayo. Hayo ndiyo matibabu, na si vinginevyo.
Hebu zingatia mfano kichwani mwako kwanza, upungufu wa nguvu za kiume unaweza kutokana na kisukari kwa mwanaume huyu, au shinikizo la damu la kupanda (HIGH BLOOD PRESSURE) kwa mwanaume yule; au shida ya tezidume kwa mwanaume mwingine au shida ya kihomoni (HORMONAL IMBALANCE) kwa wanaume wengine, basi vipi iingie akilini kwamba wote hao watatibiwa kwa dawa aina moja? Watu wengi sana wameelewa kimakosa sana ndiyo maana hata matibabu yamekuwa ni tatizo kubwa sana kwao.
 
Kosa lingine wanalofanya wanaume wengi ni kukimbilia dawa za kikemikali. Dawa hizi si kwamba hazitibu tu chanzo cha tatizo bali pia zina madhara mengi sana kiafya pia. Nini ambacho hufanya mwilini dawa hizi? Dawa hizi hufanya kazi ya kuulazimisha moyo kusukuma damu kuingia katika uume, kwa kua-activate nitric oxide. Matokeo yake ni kwamba, viungo ambavyo ni vigonjwa vitalazimika kufanya kazi huku vikiwa ni vigonjwa, na hatimaye vitadhoofika kabisa. Kama ambavyo wewe unakuwa mgonjwa unalazimishwa kufanya kazi. Mara ya kwanza unaweza kufanya, lakini mara nyingine unaweza kushindwa kabisa, na hata kuumia zaidi. Hiki ndicho kinachotokea kwa wahanga wengi wa madawa ya kikemikali. Atakwambia, “Nilijaribu kutumia mara kadhaa ikawa inasimama lakini baadaye haikusimama kabisa, hata kama nikitumia siwezi kabisa.”
Kwa maoni na ushauri ili kuondoa tatizo tuma meseji au piga 0625111473, whatsap 0678367707.

Comments