Paid View Point : Je, Nitaweza Kweli Kutengeneza Pesa đź’°Kwakutumia Hii Survey Site?




Greetings!

Karibu tena kwenye darasa la leo ambapo nitakufahamisha kila kitu kuhusu site ya Paid View Point.

Kwanza naomba niseme Paid View Point ni nini.

Well, Paid View Point ni site ambayo unaweza kujiunga na kuanza kulipwa pesa  kidogo kwa kujibu surveys utakazokuwa unatumiwa.

Nimechagua site hii ya Paid View Point kwasababu mtu yeyote yule anaweza kujiunga na kuanza kujibu survey.

Kitu kinginige Paid View Point inatuma survey kila siku. Binafsi napokea survey every single day.

Hizi sababu pekee zinanifanya nione site hii ni rahisi sana kujiunga kwahiyo inamfaa kila mmoja.

Kujiunga tembelea kwenye official link

Ndugu zangu tutumie hii fursa....kujingizia pesa   

https://ref.surveyj.co/Amrukabwe

Baada ya muktadha huo sasa naomba nianze kufafanua iwapo utaweza tengeneza pesa au ni kupoteza muda tu.

Na kwa dhati kabisa hapa nitazumza truth.

Tuanze…

1 • Ndiyo Inawezekana Kutengeneza Pesa Lakini ni Kidogo. Kwahiyo Unahitaji Kuwa Strategic.

Ok.

Paid View Point wanalipa $0.03 kwa kila survey utakayojibu.

Kwa kawaida inachukua dakika 1 hivi kujibu maswali machache (most of time ni 10) tena kwa mtindo wa kuchagua.

Maswali unayotumiwa yanahusu mambo yakawaida tu.

• mambo kuhusu sehemu unayoishi.

• kuhusu machaguo yako ya vyakula

• kuhusu Afya

• kuhusu kipato chako

• kuhusu matumizi yako

Kila baada ya kumaliza survey utalipwa kiasi nilichotaja hapo juu instantly. Na utaona kwenye dashboard ya account yako.

Well, referal hapa maana yake ni special link unayopewa na Paid View Point ili uwaambie watu wengine wajiunge.

Kadiri watu wengi wanavyojiunga kwakutumia referal link yako basi utalipwa commission $ kwa kila referal for life.

Hapa muhimu ni kupata watu watakaokuwa active wakijibu survey wanazotumiwa kila siku.

Pia kumbuka itafika muda

https://ref.surveyj.co/Amrukabwe

wanasitisha watu wapya kujiunga kwahiyo bora ujiunge mapema.

Sasa basi ili uweze kuvuta mkwanja mrefu inabidi uwe na blog.

Yep.

Hii ni njia nzuri kwasababu katika Blog yako utaweza kuandika kuweka referal link yako ikisindikizwa na review ili watu wafahamu kwa undani kuhusu paid View Point.

Pia kumbuka blog yako itakuwepo kwa kipindi kirefu na watu wataweza kuona post yako kila mara wanapo Search Paid View Point kwenye Google.

Hii inaweza ikawa njia rahisi kabisa kwako kupata passive income kama blogger.

4 • Neno la mwisho?

Ukiwa unaanza usifikiri sana lini na wewe utakuwa VIP member.

Anza taratibu huku uki-refer watu wengi zaidi wajiunge chini yako kadiri utakavyoweza.

I don’t quit.

Haya mambo baada ya muda unajikuta unatengeneza easy money. Pia kumbuka ni muda mfupi sana utatumia kujibu survey.

Kama upo na muda wakutembelea socila site kila siku kwa masaa why not try something that have potential of paying off in the future?

Ok naomba post hii isiwe ndefu.

Asante kwa kunisoma na tukutane tena katika post itakayofuata ambapo nitakufundisha jinsi yakutengeneza $30 A Day.

Comments