Na Salim Msangi
Wanasayansi wa illuminanti lutoka kwenye makampuni yao kama vile I.G. Farben, BASF, Hoechst, Dow na Bayer, ambao pia walihusika na kutenegeneza vyumba vya gesi ambavyo waliwachoma humo watu ambao kwenye historia wanafahamika kama ‘wayahudi’ ingawa ni upotoshaji wa hustoria, hawakuwa wayahudi bali Khazri, lakini pia walitengeneza chanjo ambazo kwa Khazari walitumiwa kama panya wa maabara.
Walipo ingia Marekani waliruhusiwa kufanya kazi kwenye mashirika ya Marekani na kwenye viwanda vya madawa ya taifa hilo. Makosa waliyo kutwa nayo yalitosha kabisa kuhukumiwa kunyongwa. Lakini badala yake walipata ajira ya kudumu kwenye makampuni ambayo yanahusika na kuzalisha chanjo mpaka hivi leo.
Katika hao wengine waliajiriwa mara tu baada ya kutoka jela, yaani anatoka kwenye gari la magereza anaingia ofisini, kumbuka hawa ni wauwaji, watesaji wa kiNAZI, na wanakwenda kuajiriwa kwenye fani ileile ambayo awali ilipelekea wao kukutwa na hatia. Bado unadhani kuwa chanjo iko salama.
Wakati wa WWII jengo la kampuni ya kemikali na madawa la IG Farben lililopo Frankfort halikuguswa na mabomu ya majeshi ya wavamizi, na hili ni jengo ambalo Hitler na wenzake walilitumia kuzalisha kemikali na silaha zingine za kibaiolojia, lakini hata kidogo halikuguswa.
Mtu kama Fritz ter Meer alipatikana na makosa ya kufanya utumwa na mauwaji huko kwenye kambi za Auschwitz, alihukumiwa kwenda jela miaka saba na baada ya hapo akatoka na kufanywa mwenyekiti wa bodi ya BAYER mwaka 1956.
Mtu mwingine Carl Krauch, alikuwa mwanachama mkuu na mdau kwenye kampuni ya IG Farben na pia kiongozi wa mabo ya uchumi kwenye jeshi la Hitler, alikutwa na hatia ya kufanya utumwa na kufanya mauwaji aya halaiki, alihukumiwa kwenda jela, na alikaa miaka sita tu, kisha akatolewa na kuwa mwenyekiti wa Bodi ya BASF mwaka 1952.
Viwanda vya chanjo na madawa ambavyo vimeweza kuwa na nguvu ya kuwatoa jela wauwaji wa halaiki ambao wamekutikana na makosa kadhaa, na kisha kuweza kuwaajiri wauwaji hao katika nafasi za juu mno kwenye mashirikia yao, unadhani bidhaa za wauwaji hawa zitakuwa tofauti na zile zilizo wafanya wakasimamishwa kizimbani? Kampuni ambayo alihusika kuzalisha na kutengeneza chemba za gesi ambazo watu walichomwa, kampuni hiyo ilikuja kununuliwa na kampuni ya BAYER, ambayo kama tulivyoona mmoja wa wauwaji wale alikuja tena kupata ajira ndani ya BAYER.
Sasa ni nani ambaye unaye weza kumuamini na afya ya mwanao?
MJENGO WA BAYER
1. Measles Live Virus Vaccine: Inazalishwa na Merck, dozi yake ni sindano mbili, moja wakati akiwa na mwaka mmoja na nyingine wakati akiwa na miaka 4. Chanjo hiyo inayo vitu kama gelatin, sorbitol, sodium chloride, bovine cow serum, egg protein and human albumin.
2. Measles and Mumps Live Virus Vaccine: (M-M-Rvax) inatengenezwa na Merck. Anachomwa nayo mtoto mwenye mwaka mmoja. Inayo vitu kama gelatin, sorbitol, sodium chloride, bovine cow serum, and human albumin.
3. Diptheria, Tetanus and Polio Vaccine: Unachomwa sindano Tano zinazo tolewa baina ya miaka 2 na 6 kisha inafatiwa na kile kinacho fahamika kama Booster kinachotolewa kila baada ya miaka 10. Inatengenzwa na vitu kama formaldehyde, phenoxyethanol and aluminum phosphate.
4. DTaP, IPV, HBV na Hib*: (Diphtheria, tetanus, polio, hepatitis B na Haemophilus influenza type B) Inatolewa kwa watoto wachanga wa miezi 2 mpaka 12. Chanjo hii inavyo vitu kama aluminum hydroxide, formaldehyde, na bovine cow serum.
5. Gardasil HPV: Human Papillomavirus Vaccine inatengeneza na Merck. Inatolewa na watoto wenye umri mdogo kati ya miaka 9. Chanjo hiyo inayo vitu kama polysorbate 80, sodium chloride, aluminum, and a "denatured" kutoka kwenye virusi mbalimbali.
TUTIZAME KWA UCHACHE VITU TULIVYO VITAJA KAMA VIPO NDANI YA CHANJO NA MADHARA YAKE NDANI YA MIILI YETU.
1. Bovine cow serum: hii inatolewa kutoka kwenye ngozi ya ng’ombe. Kuwepo kwake ndani ya aina fulani ya chanjo kunasababisha, aliyechomwa kuvurugika kwa mpangilio wa tishu (seli hai) ndani ya mwili wake, shinikizo la damu ya kushuka, maumivu kwenye kifua, magonjwa ya ngozi, uvimbe na maumivu kwenye viungiao.
2. Gelatin: Hii nayo inatolewa kwenye seli zilizopo katika ngozi ya ng’ombe na pia mifupa. Mgonjwa napo patiwa Chanjo yenye mchanganyiko huu unakuwa yupo hatarini kupata maradhi ya kichaa cha ng’ombe. Ukuaji wa seli hai na homoni zisizo asili.
3. • Sodium chloride: Mchanganyiko huu ndani ya chanjo unasababisha kuongezeka kwa shinikizo la damu na pia unazuia ukuaji wa misuli.
4. Egg protein: Chanjo katika hatua zake za awali inapotengenezwa, huchukuliwa ule ute wa yai, lakini katika hili huwa yai na kiini chenye hayapo kwenye hali ya usafi na hivyo kutoa nafasi ya kuwemo kwa bakteria, pia kinachanganywa na antibiotics.
5. Thimerosal: Hii ni sumu mbaya sana kwenye ubongo inayo sababisha ugonjwa wa autisim kutokana na kuwepo kwa mercury. Katika ujazo wa kawaida wa chanjo anayo patiwa mtoto zinakuwepo kwa ujazo wa 25 micrograms, na kiasi ambacho kinaweza kuwa salama cha mercury ni ujazo wa 5 micrograms, hivyo basi mtoto anaye chanjwa mara kwa mara na dozi zaidi ya moja ya chanjo kwa siku ni kuwa mtoto huyo anapokea mara 10 zaidi ya kiasi salama cha mercury ambacho mtoto angeshauriwa kupokea.
6. Human albumin: Hichi ni kiasi fulani cha protini kutoka kwenye ‘white blood cell’ za mwanadam; muhusika anapo chomwa na chanjo yenye mchanganyiko huu humsababbishia kupata homa,kuhisi baridi kali mpaka kutetemeka,mwasho, maumivu ya kichwa, tabu ya kupumua, mapigo ya moyo kwenda kasi,inaweza kusababisha kufa kwa kiasi kikubwa cha seli hai na hivyo kusababbisha upungufu wa kinga, pia inaweza kuwa na virusi wa SV40, au UKIMWI, AU SARATANI AU HOMA YA MANJANO kutegemea na kwa mtu gani hzi protini zimechukuliwa.
7. Formaldehyde: kimiminika kilicho na sumu mbaya inayotumika kuhifadhia maiti ya kiumbe chochote ili isioze. Imewekwa kwenye kundi la vitu hatari mno kwenye afya ya mwanadamu. Inaweza kusababisha kufa kabisa kwa kiungo kinacho itwa INI ndani ya mwili wa binadamu, inaweza kusababisha tasa ama ugumba, inaweza kumpatia mtu aliyo chomwa chanjo matatizo ya kupumua na hata saratani.
8. Phenoxyethanol: hii ni kemikali iliyo na simu mno, na yenye madhara makubwa kwenye ubongo, ini na kibofu. Shirika la madawa na chakula la Marekani limetoa tahadhari kuhusiana na sumu hii kutumika kwenye vipodozi kwamba inaweza kusababisha mtu akazimika kabisa kutokana na kushambuliwa kwa mfumo mzima wa fahamu. Hii ni kwa kutumiwa kama kipodozi, unadhani ni madhara kiasi gani pale mwanao anapo pokea tone la chanjo ambalo ndani yake imo sumu hii?
9. Aluminum phosphate: Hii inaongeza sumu zaidi kwenye ambayo nayo ni kisababishi kikubwa cha ugonjwa wa autisim kwa watoto.
Waweza tembelea vyanzo hivi kwa taarifa zaidi kuhusiana na chanjo ili uweze kufahamu namna gani ya kujilinda wewe na familia yako ...
Waweza tembelea vyanzo hivi kwa taarifa zaidi kuhusiana na chanjo ili uweze kufahamu namna gani ya kujilinda wewe na familia yako ...
Comments
Post a Comment